Dira na Dhamira
Dhamira yetu:
"Kuanzisha na kusimamia maeneo ya hifadhi ya bahari ya Tanzania kwa matumizi endelevu"
Dira yetu:
"Kuhakikisha maeneo tengevu ya hifadhi za bahari Tanzania yanakua furaha na fahari kwetu sote"
Kauli mbiu yetu:
"Tushiriki kwa pamoja kunufaika na zawadi ya maliasili"