Uhifadhi wa Kasa katika Hifadhi ya Ghuba ya Mnazi

Katika juma hili,maafisa kasa wanajamii walipata mafunzo kuhusu uhifadhi wa kasa,Mpango huu wa uhifadhi wa kasa katika hifadhi ya Ghuba ya Mnazi kwa sasa unafadhiliwa na Kampuni ya utafiti na uchimbaji gesi(WENTWORTH)