TIMU YA MENEJIMENTI YA MPRU YATEMBELEA KISIWA CHA MBUDYA.
19 May, 2023
09:30AM-05:40PM
MBUDYA ISLAND MARINE PARK
Timu hiyo ya Menejimenti ya MPRU ikiongozwa na Meneja Dkt. Immaculate S. Semesi yafanya ziara fupi kwa kutembelea Kisiwa cha Mbudya na kujionea vivutio mbalimbali vilivyomo ndani yake.