DMRS WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA KATIKA ENEO TENGEFU LA KISIWA CHA BONGOYO.
06 Jun, 2023
O7:00am-01:00pm
Dar es Salaam
Wafanyakazi wa DMRS washirikiana na wadau mbalimbali katika zoezi la usafi wa mazingira katika Kisiwa cha Bongoyo katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Wadau waalikwa walioshiriki katika zoezi la usafi wa mazingira ni Nipe Fagio, Sana Mare, Global Ecological Restoration Foundation, Green Blue Heroes, Kikundi cha Kukuza Utamaduni na Utalii, WOMESA Tanzania na Bongoyo Conservation Group.